Tuesday, July 28, 2020

MTAMBUE


Sauly nimwana wa kiume mzaliwa wa kwanza wa bwana Dionizi na bibi Loyce 
Aliyezaliwa tarehe 23/ 08/ 1994.

Kijana huyu akiwa mdogo alikumbana na mengi makubwa yaliyotaka kumuhatarishia maisha yake ila MUNGU mwema alimwokoa kijana huyu toka bonde la mauti na mpaka sasa bado anaishi.
 
Rukwa ndo mkoa wake halali wa maisha yake. Pia tarafa tatu zinamhusu laela, mwimbi,na mwazye.

Shule yamusingi ya kijana huyu ni shule ya Musingi Kifone, elimu ya upili ni shule ya Sekondari Matai, pia upili ulio imalika ni Shule ya Sekodari 
Maposeni.
Toka shule yamusingi Hadi ya upili kijana huyu alihitimia Rukwa lakini ya upili ulio imalika alihitimia Ruvuma Peramiho, Maposeni

Mpaka sasa unavyo soma taarifa hii kijana huyu Yuko Chuo cha Mtakatifu Augustino Tawi kuu la Mwanza katika kitivo Cha sayansi ya jamii na mawasiliano ya umma, shaada ya mahusiano ya umma na masoko. (Dipromasia na masoko)

Mda sirefu utakuwa naye mtaani Kama muhitimu wa shahada hi. Atatoa ushauri juu ya masoko na mbinu za masoko pia dira ya kufikia faida ya kweli katika biashara yako.

Mawasiliano yake nikama yafuatayo

Simu no 0762 507453

Barua pepe: saulyvictoty@gmai. com
Blog: TANZANIA YANGU/BLOG